Si ndio hapo sasa, hata mimi namshangaa huyu super power.Si waende wao wakamkamate.
Wamkamate kwanza JolaniSerikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism).
Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea na kutumia biashara ya madawa ya kulevya ya Cocaine kama silaha ya kudhuru raia wa Marekani. Mwaka 2020 serikali ya Trump ilitenga kwa mara ya kwanza dau la $15M kukamatwa kwake na mwaka huu serikali ya Biden imeongeza dau hilo kufikia $25M.
View attachment 3200463
Huna akili hiyo hela ni sawa na billion 50,Si waende wao wakamkamate.
Wazime MOTO kwanza nyumbani Maduro mkubwa sana kwao. Asisubutu muirani anatamani sana kuitwanga marekani kutokea Venezuela!!Wamkamate kwanza Jolani
Joloni kashamgeuka Mudi, Jolani amejifunza Kwa Nashrallah na Viongozi wa Hamas tena wao vita imeisha juzi Maspy ni wengi sana wako pembeni yakeWamkamate kwanza Jolani
Nae pia walimtuhumu kwa tuhuma hizo hizo.Walishawahi kumbeba Manuel Noriega wkt hamjazaliwa, hii mbinu waliiacha kwa sasa wanatangaza kwanza 3rd parties zihusike sio kwamba hawawezi!
Pelekeni makomandoo wenu wamkamate walionekana wamebeba mbwa jana kwenye sherehe wakamshika adui $25 milioni ni hela nyingi sana zitawasaidiaSerikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism).
Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea na kutumia biashara ya madawa ya kulevya ya Cocaine kama silaha ya kudhuru raia wa Marekani. Mwaka 2020 serikali ya Trump ilitenga kwa mara ya kwanza dau la $15M kukamatwa kwake na mwaka huu serikali ya Biden imeongeza dau hilo kufikia $25M.
View attachment 3200463
Ndoto ya alinacha hiyo amalizane kwanza na myahudi ndio afikirie hukoWazime MOTO kwanza nyumbani Maduro mkubwa sana kwao. Asisubutu muirani anatamani sana kuitwanga marekani kutokea Venezuela!!