Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

Mbona huyo mnaa hajashtuka mateso anayowapa washirika wa huyo mnaa huku bara la giza, Anahangaika na Mrusi ilhali Mrusi ana wanyonge vibaraka na washirika moja baada ya mwingine [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Baada ya Russia kituo kinachofuata ni North korea.baada ya hapo ni china wanamalizia Irani. USA ndio mwamba kwn puttin kwisha.
 
Uongo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…