Marekani yazuia Ndege kutoka Ulaya kutua Marekani isipokuwa Uingereza tu ndo imeruhusiwa ndege zake kutua Marekani

Marekani yazuia Ndege kutoka Ulaya kutua Marekani isipokuwa Uingereza tu ndo imeruhusiwa ndege zake kutua Marekani

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio

Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani

Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi

Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa

China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi zitokanazo na Corona
.Shirika la Afya Duniani limetangaza kuwa hili ni janga LA kimataifa yaani Pandemic disease
.
Dunia iko kwenye Tension kubwa pengine kuliko hata ya vita vya kwanza na vya Pili vya Dunia

Mahujaji wamezuiwa kukusanyika hii ni hatari kabisa kuwahi kutokea
 
Duh...... Mechi ijayo ya Yanga na mnyama itabidi irushwe shilingi maana hakuna namna!
 
Back
Top Bottom