Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio
Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani
Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi
Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa
China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi zitokanazo na Corona
.Shirika la Afya Duniani limetangaza kuwa hili ni janga LA kimataifa yaani Pandemic disease
.
Dunia iko kwenye Tension kubwa pengine kuliko hata ya vita vya kwanza na vya Pili vya Dunia
Mahujaji wamezuiwa kukusanyika hii ni hatari kabisa kuwahi kutokea