Marekebisho ya lazima, TPLB/TFF wanaipendelea Yanga au ni bahati mbaya tu?

Anayechagua mechi ichezwe wapi ni timu mwenyeji sasa mnailaumu vipi Yanga? Huo uwanja wa Tabora na Liti vimefungiwa muda sasa ila ikija Yanga na Simba kelele. Kwani hizo timu nyingine mbona hazikulalamika ( Ujinga wa Simba na Yanga).
Simba walicheza mechi yao uwanja wa Liti, baadae tff na Bodi ya ligi ndio wanaona haufai. Kiukweli yanga wanabebwa mpaka leo bado hawajaadhibiwa kwa kuharibu viti uwanjani.
 
Anayechagua mechi ichezwe wapi ni timu mwenyeji sasa mnailaumu vipi Yanga? Huo uwanja wa Tabora na Liti vimefungiwa muda sasa ila ikija Yanga na Simba kelele. Kwani hizo timu nyingine mbona hazikulalamika ( Ujinga wa Simba na Yanga).
Soma vizuri hapo ujue nani anayelalamikiwa
 
Kwa akili ya kawaida hiyo mechi hata ingechezwa Tabora unadhani Yanga ingefungwa? Yaani nyie mle 5G then mtegemee Tabora awakomboe! Mbona mechi yenu na Azam inachelewesha mpaka mkae sawa!!
 
Kwa nini usianze kulalamikia TFF Kwa kuipa Simba viporo visivyo na ulazima
Mfano Ni sababu ipi iliyopelekea mechi ya Simba na Azam kutochezwa mpaka Leo ?
Wangepelekewa moto....
 
Ni Kama tu walivyosogeza mechi ya Simba vs Azam Hadi January,ili madunduka wasajili na kujitafuta wasipate kichapo kingine Cha 5G,toka kwa on fire Azam . punguza kulilia
 
Kwa akili ya kawaida hiyo mechi hata ingechezwa Tabora unadhani Yanga ingefungwa? Yaani nyie mle 5G then mtegemee Tabora awakomboe! Mbona mechi yenu na Azam inachelewesha mpaka mkae sawa!!
Ihefu FC[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu,
Mnajua kulalamika sana.
Maelezo meeengi na huna research.

Hiyo match mwenyeji ni Tabora United, ndio mwenye maamuzi yakuchagua Uwanja wake.

Tuna shida sana
 
Kwa akili ya kawaida hiyo mechi hata ingechezwa Tabora unadhani Yanga ingefungwa? Yaani nyie mle 5G then mtegemee Tabora awakomboe! Mbona mechi yenu na Azam inachelewesha mpaka mkae sawa!!
Hapo tunasema "TIMU NI ZILE ZILE ILA KIWANJA NI TOFAUTI" hivyo haijalishi wamecheza wapi ila ukweli unabaki pale pale Kwa kuwa timu zitabaki ZILE ZILE Kwa ubora ule ule.
 
Uko Sahihi.
 
Kwahiyo viwanja vya ugenini vinakuwa vibovu na kufungiwa mechi za Yanga ikikaribia,halafu vinakuwa vizuri mechi za Simba za ugenini zikikaribia, shubammit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayechagua mechi ichezwe wapi ni timu mwenyeji sasa mnailaumu vipi Yanga? Huo uwanja wa Tabora na Liti vimefungiwa muda sasa ila ikija Yanga na Simba kelele. Kwani hizo timu nyingine mbona hazikulalamika ( Ujinga wa Simba na Yanga).
Timu mwenyeji uwanja wake ukifungiwa mechi ya Yanga inapokaribia lazima apeleke mechi uwanja mwingine, halafu mechi ya simba ikikaribia uwanja unafunguliwa! Hujapata concept au ubongo umejaa matope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huo uwanja ulizuiliwa kwa mechi za Simba na Yanga tu? Mechi ngapi hazichachezwa hapo Al Hassan Mwinyi? Mbona hamkulalamika, acheni umbumbu. Leo liti umefungiwa mbona hamlalamiki timu kucheza na Singida Karatu? Kisa Yanga.
Mshindani wa Yanga ni nani kwenye ligi? Hata kama ukifunguliwa na timu nyingine zikacheza lengo la bodi na TFF inakuwa imetimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mtoa uzi umeulizwa simba alicheza lini nyankumbu? Mbona hujibu una dunda dunda tu? We si umeandika hivyo, toa ushahidi tafadhali

Acha kukopi kopi mambo ukayabeba kama ni yako, utaja umbuka vibaya hutaamini
 
Unacholalamikia Wala akieleweki, yanga anahusikaje hapo? Kanuni ziko wazi Kama uwanja umefunguliwa Leo yanga aiwezi kucheza pale iyo ni kanuni ambayo vilabu vyote viliipitisha Sasa unailalamikia Nini TFF?
Pia Iko wazi kwamba logistics zilishapangwa kuhusu malazi kule Dom mapema na timu husika sasa huwezi kubadilisha ghafla ndo maana kanuni iliwekwa. Simply that.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…