Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mahakamani wakupe miongozo.Msaada tutani wadau mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti msaada maana jina la vyeti vingine ni PASCHAL lakini cheti kimoja ni PASCAL je inamadhara katika maombi ya ajira , mikopo nk ?