Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013: Naomba kujulishwa

Jotu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
444
Reaction score
311
Bunge lililopita lili review marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013 ambayo ilibidi kurudishwa bungeni baada ya Rais JK na vyama vingine kujadiliana.

Napenda kuuliza kwa wenye habari vizuri kuhusu nini kimebadilika katika marekebisho hayo? Nimejaribu kufuatilia hapa jf sikuona. Nisaidieni wadau.
 
mkuu kikubwa ni kwamba hakuna kilichoongezeka walakubadilika isipokuwa wameongezwa wajumbe 35 kutoka kwenye ile idadi ya awali mengine yote kama yalivyo.
 
Hii maana yake ni kuwa walichokubaliana vyama na Rais ni ongezeko la watu 35 tu?
 
Back
Top Bottom