chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Kisimbuzi cha Azam kinajizima na kuwaka kinapotaka, ni wakala gani maeneo ya Chamazi anayerekebisha hizi vitu manake nilienda kwenye duka la wakala nilipokinunua (nilinunua mwezi September) fundi wao akasema nitoe elfu 25 abadili LNB na HDMI cable?
Naona matangazo yanasema marekebisho ni bure, naomba mnielekeze pa kukipeleka kwa maeneo ya Chamazi.
Naona matangazo yanasema marekebisho ni bure, naomba mnielekeze pa kukipeleka kwa maeneo ya Chamazi.