Maria Sarungi amuibua Waziri wa Utumishi Mh Mutuli ambaye mtoto wake alitekwa miezi 6 iliyopita na hajapatikana, asema na yeye anamtaka mwanae!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane

Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye akiwa ni Mwanasheria mkuu wa Serikali na Sasa ni miezi 6 bado hajapatikana

Mutuli amesema kuingizwa kwake Kwenye Baraza la Mawaziri hakutamfanya aache kudai mtoto wake arejeshwe

Citizen TV

Mlale unono 😂
 
huyo Mutuli ulie mtaja, ndiyo waziri Justin Muturi wa serikali ya Kenya Kwanza hapo Kenya, ama ni mwingine gentleman?🐒
 
Baada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane

Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye akiwa ni Mwanasheria mkuu wa Serikali na Sasa ni miezi 6 bado hajapatikana

Mutuli amesema kuingizwa kwake Kwenye Baraza la Mawaziri hakutamfanya aache kudai mtoto wake arejeshwe

Citizen TV

Mlale unono 😂
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
2025 Mtaogelea damu na mizoga.
Kuharakisha Muda na kupata nafasi ya kudeal na wengine hakutakuwa na kusubirishana.
 
Back
Top Bottom