johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu angalia Citizen Sunday live.Hii nchi ukizima data tu kidogo ukirudi hutaelewa mpaka ukae ujifunze yaliyojiri ukiwa off line nayo ni mengi mno.
Hii tekateka itatumaliza woteMutuli amesema kuingizwa kwake Kwenye Baraza la Mawaziri hakutamfanya aache kudai mtoto wake arejeshwe
Nacheki hapaMkuu angalia Citizen Sunday live.
huyo Mutuli ulie mtaja, ndiyo waziri Justin Muturi wa serikali ya Kenya Kwanza hapo Kenya, ama ni mwingine gentleman?πBaada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane
Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye akiwa ni Mwanasheria mkuu wa Serikali na Sasa ni miezi 6 bado hajapatikana
Mutuli amesema kuingizwa kwake Kwenye Baraza la Mawaziri hakutamfanya aache kudai mtoto wake arejeshwe
Citizen TV
Mlale unono π
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!Baada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane
Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye akiwa ni Mwanasheria mkuu wa Serikali na Sasa ni miezi 6 bado hajapatikana
Mutuli amesema kuingizwa kwake Kwenye Baraza la Mawaziri hakutamfanya aache kudai mtoto wake arejeshwe
Citizen TV
Mlale unono π
Ndiyo ujuzi pekee alionao mtu mweusi.Tekana tekana ni mambo ya kishenzi
Ngumu kumrekebisha mzalamo.Ni Muturi.
Mzalamo au mzaramo?πNgumu kumrekebisha mzalamo.