Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jina: Al-HAJJ NOURDIN MUSHI.

Ametekwa jana 05/September/2025 majira ya saa moja jioni.

Imeripotiwa:
RB No:- MBN/RB/2209/2025
Kituo cha polisi Mbweni.

Mwenye taarifa awasiliane na namba:- 0683772862.

Ndugu walimwona jana saa 11 jioni akiwa na watu waliojifanya wanataka kukodi gari wakamuelekeza pale Kibo Complex yeye alifika muda wa saa 1 jioni wakamteka wakampakia kwenye Toyota Wish nyeusi, wamempeleka pasipo julikana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…