Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo

Namtabiria huko mbele Maria atapewa Nobel price


View: https://youtu.be/FaN8lS_XNX0?si=mIbPy6Vr4WLKVKIo

Naunga mkono hoja, mimi ni kaka yake tumesoma shule moja ya primary, kiukweli dada yangu huyu, yuko bold.

Hata ile siku, nilipochangia hoja kwenye mjadala huu,

View: https://youtu.be/2OLrulAp59A?si=n4Ar5Twqw4WTso9b
Maria alikuwepo, akaniuliza kaka yangu wewe, huogopi?.
P
 
kama Nobel Price sawa ila Nobel Prize hapana 😅
 
Kwakweli Dada Maria anastahili sana hiyo tuzo amekuwa ni sauti ya wasiokuwa na sauti katika Afrika ya Mashariki.
 
Back
Top Bottom