Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

Very smart lady, huyu mmoja ni zaidi ya wabunge wote wa ccm waliopo hivi sasa,tofauti na wale wa zamani enzi ya sita na msekwa
 
Naunga mkono hoja, mimi ni kaka yake tumesoma shule moja ya primary, kiukweli dada yangu huyu, yuko bold.

Hata ile siku, nilipochangia hoja kwenye mjadala huu,

View: https://youtu.be/2OLrulAp59A?si=n4Ar5Twqw4WTso9bMaria alikuwepo, akaniuliza kaka yangu wewe, huogopi?.
P
 
kama Nobel Price sawa ila Nobel Prize hapana 😅
 
Kwakweli Dada Maria anastahili sana hiyo tuzo amekuwa ni sauti ya wasiokuwa na sauti katika Afrika ya Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…