Maria Sarungi ni adui wa Tanzania

Maria Sarungi ni adui wa Tanzania

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa, ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.

Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.

It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are happening.

These things must be discussed in a good-natured way kama walivyokuwa wanafanya Greeks in Plato's Academy. Serikali inakaribisha constructive criticism.

Lakini kama haina kitu cha kusema isipokuwa tu,"Hawa habithi wanatutesa," Serikali lazima imzuie

Pia soma
 
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa,ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.
Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.
It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are happening.
These things must be discussed in a good- natured way kama walivyokuwa wanafanya Greeks in Plato's Academy. Serikali inakaribisha constructive criticism.

Maria ni mkosoaji hajawahi kutukana mtu wala serikali.
 
sasa mkuu ikiwa pamoja na kutukana hapewi attention na pia ndo kwanza anatekwa af pia kwa kiongozi tz anaweza kuwa na akili ya kumsikiliza mtu wakakaa wa negotiate vzuri au ndo watakuwa wa kwanza kubeba ma burungutu ya mlungula kumpoza mwanaharakati. iko hivi viongozi wetu wengi ni watu waliofaulu mitihani hasa ya darasani lakini hawana iq toshelevu ya kuwaza outbox.. ntakuja kueleza deep..ni kivipi..
 
kama anaikosoa Tanzania na sio Tanganyika,tunamuunga mkono

unajifanya kiingereza hapa wakati mkiwa nae kwenye gari alikuwa anaongea englishi mnajiuma uma tu kujibu
 
Yaani unataka watekaji wajadiliwe kiustaarabu?Au umechanganyikiwa Nini?watekaji wanadakiwa wakosolewe Kwa lugha Kali na siyo kubembelezana.
 
Huyu naye dingi wake ndiye mwasisi wa kuteka na kupoteza watu mf. Kadsim Hanga. Na pia dingi wake ndiye mwasisi wa kuweka watu kizuizini.
Eh mkuu, c tumekubaliana kuwa JPM ndie mwasisi wa kutekana 😂 mbona mnayapinga maneno yenu wnyw
 
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa,ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.
Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.
It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are happening.
These things must be discussed in a good- natured way kama walivyokuwa wanafanya Greeks in Plato's Academy. Serikali inakaribisha constructive criticism.
Lakini kama haina kitu cha kusema isipokuwa tu,"Hawa habithi wanatutesa," Serikali lazima imzuie
Ni muda sasa nasikia Maria anatukana. Kila napokuta kundi la wanawake wanasema hivyo. Nikiuliza ametukanaje wanaangaliana kila mtu akishangaa.... Then wananiuliza hujasikia? Maria anatukana. Nawauliza matusi gani wanaangaliana.... Kisha wanatawanyika.

Maria ametukana wapi na amesemaje? Ili tumteke tumuue. MAADUI WA TANZANIA NI HAWA MAFISADI NA MAJIZI WANAUZA RASILIMALI NA KUNUNUA WATU KWA MANUFAA YAO.
 
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa,ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.
Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.
It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are happening.
These things must be discussed in a good- natured way kama walivyokuwa wanafanya Greeks in Plato's Academy. Serikali inakaribisha constructive criticism.
Lakini kama haina kitu cha kusema isipokuwa tu,"Hawa habithi wanatutesa," Serikali lazima imzuie
Sio adui wa Tanzania, sema ni adui wa ccm, usitake kutufanya watanzania wote tukamuona hafai. Nyie majizi ya kura ndio mjitafakari kwa kulazimisha kutawala watu wasiowakubali.
 
Back
Top Bottom