Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yake ni Mkurya, tena wa TarimeKwahiyo hiyo ni copy ya Kijaluo mixer mtasha au sio
Wote kwao wapo hivyo Mkuu...hawana dharau.Ana ndugu yake anaitwa veronica sarungi,
1. Alikuwa mrefu na alikuwa na slim figure na minywele ya kichotara
2. Alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria, mzuri,msikivu, hana majigambo ya kiuchumi na kimamlaka,
3. Mshahara wake wote alikuwa anawapeleka watoto wenye maisha magumu nahisi ilikuwa kituo cha kigogo ( catholic centre)
4. Alikuwa single by then. Mtu wa kusali,
5. Kubwa kuliko alinifundisha kusamehe na kusahau
Mungu akubariki popote ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana ndugu yake anaitwa veronica sarungi,

Sarungi ni mjaluo wa Utegi..... sio mkurya
Yah
undefinedKabla ya kugawanywa Wilaya ya Rorya il8kuwa sehemu ya Wilaya ya Tarime, ilijumuisha maeneo ya wakurya wa Tarime na Wajaluo wa Utegi mpaka Shirati huko. So Sarungi ni Mjaluo wa utegi iliyokuwa zamani wilaya ya TarimeAtii...!View attachment 1296165undefinedSent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ALIKUWA naona zinanipeleka mawazo kusiko. Kwani yuko wapi?Ana ndugu yake anaitwa veronica sarungi,
1. Alikuwa mrefu na alikuwa na slim figure na minywele ya kichotara
2. Alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria, mzuri,msikivu, hana majigambo ya kiuchumi na kimamlaka,
3. Mshahara wake wote alikuwa anawapeleka watoto wenye maisha magumu nahisi ilikuwa kituo cha kigogo ( catholic centre)
4. Alikuwa single by then. Mtu wa kusali,
5. Kubwa kuliko alinifundisha kusamehe na kusahau
Mungu akubariki popote ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa headgirl pale Forodhani sec miaka ya mwanzoni ya tisini alimaliza form 4 akiniacha form 2 kama sikosei.Naongezea hapa.
Lakini huyu Maria ni Mkatoliki swaafi nimepisha maye sana hapo St Joseph Cathedral Misa za Mchana na ibaza za Majuma makuu.