natamani kuiona kwa mara nyingine ile video ya Chemundugwao aliyo mshirikisha dada Lwiza Nyoni (Lwiza Mbutu) ktk ule wimbo wa ''nimetoka kwetu mahenge''.kama ipo youtube mtu mmoja atupie link yake hapa.Kila kukicha anaibuka na mapya, mara leo kagombania bwana, mara kesho vile, ... - yuko Extra Bongo
View attachment 84607
Kila kukicha anaibuka na mapya, mara leo kagombania bwana, mara kesho vile, ... - yuko Extra Bongo
View attachment 84608
View attachment 84607
Mchoraji tatuu nae atakuwa kafaidi sana.
Mchoraji tatuu nae atakuwa kafaidi sana.