Kama unaelewa utajiri wa Jakaya na namna alivyo walea watoto kijitegemea; watoto ambao ni independent.
Pamoja na utajiri wa Jakaya kwa sasa hakuna mtoto wake anaeenda kwake kuomba hela, wote wana income streams zao. Mwenye tamaa labda mkewe.
Kwanini JK yupo kwenye siasa ni psychological issues za power. Vinginevyo Ridhiwani anaweza shinda ubunge bila ya JK na hata akishindwa ana vitega uchumi vya kuendesha maisha yake bila ya JK.
Shida ya JK ni psychological ya kuzoea power, lakini watoto wake wengi kwa sasa hawaitaji hela zake. Kwa maisha yao halali ya kujitegemea.
Watu wanaonufaika na deal za JK kisiasa ni watu kama GSM lakini sio familia yake. Watoto wake wanahela zao za biashara halali au maisha yao halali wanayoendesha.
The old man has serious psychological issues (kiherehere) aonekane na yumo kwenye mfumo wa power. Lakini watoto wake awaombi hela kwake wapo vizuri kivyao na mishe zao halali.
Ndio maana usikii watoto wake wakitajwa kwenye ufisadi wa Samia hata alie waziri, JK ni mental case trust me.
Samia hiyo ni case nyingine sijui unaanzia wapi na kumalizia wapi matatizo yake maana ni luluki.