Maria Space ya Oktoba 9, 2025 kuhusu utekaji
Unajiona salama Msigwa!
Save this - ipo siku utahitaji tukupazie sauti kana hawa wenzako mliokuwa nao wakati wa Jiwe
Mark this post!
Hauko salama kama unavyofikiri
#TutaelewanaTu
‼️🚨UPDATE🚨
Police @tanpol have detained more Chadema leaders who went to look for Chifu Karumuna! They also denied having him but we are reliably informed he is held at Bukoba Central
Vijana walioenda kumwulizia Chifu pia wamekamatwa na ni
- Shijason Paul (Katibu mwenezi BAVICHA)
- Egbert Kikarugaa
- Dan (katibu mkoa)
Acheni mzaha tunajua mnaye Chifu na wengine wote! Waachieni
#EnforcedDisappearances #Tanzania
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿⚠️
#X_SPACE HAS ENDED
Audio 👂
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️
🚨‼️MUHIMU🚨‼️
Tarehe 29 Oktoba 1964 ndo siku tulijibatiza jina la Tanzaniia na benderra yetu ilizaliwa 🇹🇿
Ni siku ya kihistoria na sisi #WenyeNchiWananchi tumeamua tunataka kuanza upya mwaka huu
Enough is enough! Tunaishi ka mateka 😓 this is not what our forefathers envisionef!
Hivyo #OktobaTunatoka 2025 lazima tuandike ukurasa mpya
Hii si fujo, si vurugu ni dai la pamoja
Tuko upande sahihi wa historia 💪🏽 kila mzalendo anaelewa hii!
#TutaelewanaTu
-
583319c0e3ca4061b4808b69a059c87e.jpg
108.6 KB
· Views: 15
‼️🚨TANGAZO KUWENI MAKINI NA HAWA WAHUNI🚨
Huko vijiweni na mitaani kaeni chonjo - wasajili laini wamo mashushu - kama humjui usipige naye story!
Tuwatambue na kuwatenga mawakala wa dhulma hawa 🚮
#TutaelewanaTu