Mariah Carey ajifungua watoto Mapacha

hahahaahha lol
asante kwa kuniweka kwenye Celebrities list mmmhhhh
I feel very special now hahahahhah lol
Mie nazidi kumwomba Mungu anipe watatu mmhhhh
 
Hivi hawa ma star ambao umri umeenda, wanamua kupiga two in one au fate tu? Na nafikiri wanaweza panga when to give birth pia. I love twins!
 
hahahaahha lol
asante kwa kuniweka kwenye Celebrities list mmmhhhh
I feel very special now hahahahhah lol
Mie nazidi kumwomba Mungu anipe watatu mmhhhh

Triplets? Kwa mantiki hiyo itabidi tukuweke kwenye kundi la triplets
Richard Thomas had identical triplet girls.
Dr. Drew of Loveline fame has triplet boys
 
Hivi hawa ma star ambao umri umeenda, wanamua kupiga two in one au fate tu? Na nafikiri wanaweza panga when to give birth pia. I love twins!

They' are all having kids late, so they're hooking down the fertility drugs. This often lead to multiple births.
 
Amewaita "Moroccan" na "Monroe". Sasa wapakaziaji wameshaanza, eti yote majina mawili yana "moron" in them. Kweli dunia uwanja wa fujo!

melvinryantan RT @Lord_Voldemort7: Mariah Carey named her kids Moroccan & Monroe. Fitting that the word 'moron' is already hidden inside each name.
 
hongera zake... anayetaka kupata twins ani PM nimtell jinsi ya kufanya...ila aweze kuwalea..
 
hahahaahha lol
asante kwa kuniweka kwenye Celebrities list mmmhhhh
I feel very special now hahahahhah lol
Mie nazidi kumwomba Mungu anipe watatu mmhhhh

hongera zake... anayetaka kupata twins ani PM nimtell jinsi ya kufanya...ila aweze kuwalea..

Afrodenzi anataka triplets. Unaweza msadia?
 
Triplets? Kwa mantiki hiyo itabidi tukuweke kwenye kundi la triplets
Richard Thomas had identical triplet girls.
Dr. Drew of Loveline fame has triplet boys

Hahahahahahahah
sasa naanza kujisikia vizuri mmmhhh
Sababu umeniweka kwenye section ambayo
Mmmhhh inanifanya nijisijikie niko alive mmmhh lol
 
wengi wa mapacha hapa ni matunda ya IVF!
 
MARIAH NA NICK...WATOA MAJINA YA TWINS WAO...!

p { margin-bottom: 0.08in; }
Mariah Carey na husband wake,Nick Cannon wamewapa majina twins waliopata hivi karibuni....

Pacha wa kiume anaitwa Moroccan Scott Cannon na Scott ni jina la kati la Nick Cannon,na Morrocan ni jina la nyumba ya Mariah Carey iliyoko New York City iitwayo Moroccan Room,na pia ni sehemu ambayo Nick Cannon alimchumbia Mariah Carey
Na pacha mwingine anaitwa Monroe Cannon,na limetokana na Mariah Carey kumzimia maisha yake yote Marilyn Monroe,aliyekua na vipaji kibao kama Actress,model,film producer na singer ambaye kwa sasa ni marehemu!
 
Hahahahahahahah
sasa naanza kujisikia vizuri mmmhhh
Sababu umeniweka kwenye section ambayo
Mmmhhh inanifanya nijisijikie niko alive mmmhh lol
Namie nakuombea sulebriti wa bongomuviiz aka toliwudi!! upate hao wapacha 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…