Mariam Al Maawy dies in S. Africa after Al-Shabaab attack

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
7,544
Reaction score
3,131
Public Works Principal Secretary Mariam El Maawy is dead.

Ms El Maawy died in South Africa, where she was undergoing treatment following an Al-Shabaab attack on July 13.

NEPHEW

Statehouse Spokesperson Manoah Esipisu confirmed the death of Ms Maawy to the Nation but said details would be communicated later.

Al-Shabaab shot and injured the principal secretary in the shoulder and on legs after abducting her at Milihoi area on the Mpeketoni-Lamu road.

Her nephew, a trainee pilot, with whom she was with, died during the attack but Ms Maawy was rescued by a joint team of the Kenya Defence Forces and the General Service Unit.

RELATED CONTENT

PS airlifted to Nairobi for treatment3 dead, PS shot in Shabaab attack - VIDEOFive killed in operation to rescue PS, sources say

The security team rushed her to Mpeketoni Hospital.

POLICE

She was later airlifted to Nairobi for treatment.

During the attack, the militia took control of the principal secretary’s vehicle which had six occupants and sped off into a thicket.

A KDF helicopter followed the vehicle and managed to rescue the PS.

Two police officers also died during the attack while two others were abducted by the militia.

On the day of attack, the PS had attended a meeting on Lamu Port South Sudan Ethiopia Transport Corridor at Huduma Centre in Lamu town before heading to Witu.
 
Yalaaaaah dah[emoji24] ....Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un ﺇِﻧَّﺎ ﻟِﻠّﻪِ ﻭَﺇِﻧَّـﺎ ﺇِﻟَﻴْﻪِ ﺭَﺍﺟِﻌﻮﻥَ
 
RIP...JUBILEE waliambiwa watoe KDF Somalia hawaskii...LALA SALAMA DADA

KDF wakiondoka Somalia mambo ndio yatazidi kuwa mabaya zaidi, kwa Somalia na Kenya pia. Al-Shabaab wakiinyakua Somalia wataendeleza vurugu zao hadi kwa nchi za jirani. Tukumbuke kuwa KDF waliingia Somalia baada ya Al-Shabaab kuanza vitendo vya utekaji nyara watalii ndani ya Kenya.
 
Kuondoa kdf somalia kwa kutishiwa na alshabaab ni failure kubwa sana kijeshi,

Kinachotakiwa ni kuongeza nguvu ya kuwaondoa moja kwa moja!
 
KDF wakiondoka Somalia mambo ndio yatazidi kuwa mabaya zaidi, kwa Somalia na Kenya pia. Al-Shabaab wakiinyakua Somalia wataendeleza vurugu zao hadi kwa nchi za jirani. Tukumbuke kuwa KDF waliingia Somalia baada ya Al-Shabaab kuanza vitendo vya utekaji nyara watalii ndani ya Kenya.
point nzuri...basi tupeeni TPDF tuwamalize kabisa
 
KDF wakiondoka Somalia mambo ndio yatazidi kuwa mabaya zaidi, kwa Somalia na Kenya pia. Al-Shabaab wakiinyakua Somalia wataendeleza vurugu zao hadi kwa nchi za jirani. Tukumbuke kuwa KDF waliingia Somalia baada ya Al-Shabaab kuanza vitendo vya utekaji nyara watalii ndani ya Kenya.
Hapana wakiwaondoa somalia wawaweke kwa border kutakuwa safe instead majeshi wako somalia kenya police iko kwa border polisi wanavifaa lakini hawana training
 
Nadhani mpaka wenu na Somalia ni mkubwa sana kwa hiyo kazi inakuwa ngumu kuulinda wote. Suluhisho la kudumu ni kwa Somalia kuwa na jeshi imara. Inashangaza kuwa miaka yote hiyo Somalia bado wana jeshi dhaifu.
 
Mkubwa wapi??

700km border line

Kenya ina 3500 troops in somalia

Kuna jesho 75,000 kenya sai

Ukichukua hata 35000 hyo inakuwa Jeshi Kumi kila kilomita

HAYA kuna Ndege 300 Kenya
Jets 18
Na 1000s of Trucks
1000s of APCs
Na pia Kuna drone kama Tano

Safaricom ikiweka Communication tower strategically along 700km na kuna Airbase wajir Mandera Garissa Lamu kuna Navy base

Deployement itakuwa steady ....what is this ei
 
Hapana wakiwaondoa somalia wawaweke kwa border kutakuwa safe instead majeshi wako somalia kenya police iko kwa border polisi wanavifaa lakini hawana training
Sam ukiweka wanajeshi kwenye border pekee utapigwan vibaya sana! Maana wao watajenga ngome imara huko kwao na kuvamia huku kwenu kwa njia ambazo hamuwezi kujua kua wameingiaje, hata kupitia nchi nyingine halafu nyie mmejirundika pale mpaka wa Kenya na Somalia!

Kuharibu kambi zao moja kwa moja ndo njia pekee ya kuwamaliza! Shida ya hili ni kuwa vikundi hivi ni biashara ya watu hivyo kuvimaliza haraka sio rahisi!

Zamani biashara kubwa ilikuwa ni kuuza madawa, siki hizi hiyo imedoda, biashara kuu ni kuuza siraha.
 
Kweli, kama Iraqi wanavyowafanyia ISIS
 
Kenya watoe jeshi Somalia, hio jeshi la kenya lije lilinde mipaka ya Kenya. Ni rahisi kulinda mipaka ya kenya watabaki wanashangilia huko usomalini wameshinda vita wala hawatakuja kuvamia Kenya tena. Wasomali wana mindset yao kivyao kama wa afghanstan Kenya sifikirii kama itakuja kuwashinda hao wasomali ndani ya ardhi yao.

Kenya wanaweza kujidai wanaingia kutafuta suluhu kwa meza ya mduara washikane mikono basi waache kupigana.
 
Back
Top Bottom