Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Si alintaja MTU? Au nyingine Mana anazo nasikia nyingi
Ule mshuka wa kimasai unawaingiza watu chaka hadi wanadhani kulikua na zaidi ya mtu mmoja , anajikojoza mwenyewe tu pale[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Biashara kuporomoka kwa masi ni uongo. Nina rafiki yangu anakaa karibu na anapouzia biriani yake anasema Leo wateja ni wengi kuliko kawaida
Jana ulivyokuwa waongelea biriani, I didnt know anything kumbe mambo ndo yalikuwa hivi. Tabata ipi alikuwa anapikia
 
Mnaouza "klip" ya dada wa biriani mmeingiza sh ngapi hadi sasa?
 
Kama ni misambwanda kiukweli Mariam hana cha ajabu kabisa hata mama yoyo anamzidi
Nampongeza sana ameitumia simu yake vizuri na imemtengenezea biashara
Wenye misambwanda ya maana wapo kitaa kibao na wanaendelea kufa na njaa zao wakati Mariam anapasua anga
Hongera kwako Mariam bilian
 
jaman tunaomba hako kavideo pm mbona mnaturusha roho
 
Kuna memba aliweka link humu jaribu kutafuta huo uzi.
Sii kwel,mpaka dk hii hakuna video kokote,na kama kwel uliiona hyo link bas nawewe utakua nayo,kiongoz fanya tuu kuiweka tena utusaidie chaputa mchana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…