Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Kaisha sema li clip la miaka mingi sana na ishu hiyo ilikwishapita, naona mnaamua kumvurugia biashara, kumbuka no body is perfect, hata wewe unayeshadadia habari hii huenda una makandokando yako ya zamani yakiwekwa hapa utachanganyikiwa. Tumuache afanye biashara
 
Kwanini wanaume tuwabinafsi Sana.
Yeye na yule mlevi aliyepewa mwaliko wa tokomeza zero wanatofauti gani
 
Sikubaliani kabisa na ule utaratibu wake wa kutangaza biriani huku akituonyesha makalio ni upunguani na kukosa akili ni dhahiri kwamba anatangaza biashara ya tigo kwa ujanja acha kutetea ushenzi jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…