Mariam Migomba alamba ubalozi kuunga mkono kampeni ya nishati safi ya kupikia

Mariam Migomba alamba ubalozi kuunga mkono kampeni ya nishati safi ya kupikia

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wakuu

Katika kuunga mkono juhudi kampeni ya kuhakikisha watanzania wanatumia nishati safi na kuachana na matumizi ya mkaa, kampuni ya Alka Charcoal imeunga mkono juhudi hizo kwa kuzalisha mkaa ambao unatokana na mabaki ya nazi.

Sambamba na hilo kampuni hiyo imemtambulisha Mariam wa Migomba kama mwanafamilia ambae atakuwa nao katika kuhakikisha kila mtanzania anatumia nishati safi salama.

 
Back
Top Bottom