Mariam Migomba wa TBC

Yaani kajiharibu ngozi ya uso wake mpaka anatia huruma! Hivi rangi asilia ina ubaya gani?
 
Hizo picha zinafaa sana kubandikwa maeneo ya bafuni
 
Inaonekana wewe kazi yako ni kukaa ndani kuangalia TV. Toka usiku utamsahau huyo Miriam wako
 

wewe ni jinsia gani?
 
Huyu Mariam Migomba ni mwenyeji wa Musoma,na alisoma shule moja ya msingi kule Musoma kabla ya baadae kuja kusoma chuo cha uandishi wa habari cha time,ameolewa na ana watoto kama sijakosea wawili.

Amekomaa sana sura bila shaka anakaribia umri wa kustaafu kwa lazima
 
wewe huyu migomba mumewe atakufanya vibaya huyo mama wa watu wamtakia nini?
 
wewe huyu migomba mumewe atakufanya vibaya huyo mama wa watu wamtakia nini? kwani hujui kuwa tupo kuleta raha lol
 
Kama hata uraiani ana maneno vile, mkichokozana wee ondoka. Hiyo mvua ya maneno itakayokunyeshea!
 
Amechukua tuzo nyng sana za mtangazaj bora wa vipind vya taarab
 
Uso umekomaa kwa pombe kali, anakunywa konyagi kama hana akili nzuri...

pyee babu weeh sura limekukomah kaa bamia la lamu
loo kama una pumu kamulie chooni mzi wakuingie mdmoni
unakaa kazi kumzushia mwana wa mwenzio kuwa ni mlevi chefuuu fanya yako una nin jogoo wa kuchora?
 
Heeee kumbe ni "Juventus" hivi?kweli TV zinadanganya...wapi Nifah mutoto ya mujini?
 
Heeee kumbe ni "Juventus" hivi?kweli TV zinadanganya...wapi Nifah mutoto ya mujini?
Haahahahaaa nilikuwa sijakuelewa vizuri,ila baada ya kufikiria Juventus 'Kibibi kizee cha Turin' nimecheka sana.
 
Haahahahaaa nilikuwa sijakuelewa vizuri,ila baada ya kufikiria Juventus 'Kibibi kizee cha Turin' nimecheka sana.
Ha ha ha ha ndio maana nimekuita "mmbeya wa mujini"....Kweli wewe kipaji,vipi ulisoma enzi za shule za vipaji maalumu Nifah "An old Lady of Turin"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…