Hahahahahaaa hiki kipaji tu mkuu.Ha ha ha ha ndio maana nimekuita "mmbeya wa mujini"....Kweli wewe kipaji,vipi ulisoma enzi za shule za vipaji maalumu Nifah "An old Lady of Turin"
Kweli mbea IQ inahuuu...vipi yule Meneja wa Procurement Twiga Cement kule wazo bado hujamkubali tu?inamaana hutaki kuhongwa Verosa?au hupendi mabossHahahahahaaa hiki kipaji tu mkuu.
Mimi nimesoma shule za kata za Mzee wangu kipenzi Lowassa.
Sifa kubwa ya mbea lazima uwe na IQ kubwa.
😛😛
Jaribu hii 07-8 837757 tafuta ya kati mm simo
Mhhhhhhh meneja yupi huyo?Kweli mbea IQ inahuuu...vipi yule Meneja wa Procurement Twiga Cement kule wazo bado hujamkubali tu?inamaana hutaki kuhongwa Verosa?au hupendi maboss
Mkuu UngaUnga I salute U in the name of my ancestors!!Kweli ulirusha ndoano kwa gear ya Meneja Ugavi pale Twiga Cement Wazo Hill,Vipi sera zako zimeeleweka?au ndio kama UKAWA kwa Wagogo wa Dodoma,licha ya kuwa ombaomba na wala viwavi jeshi hawahitaji sera mbadala
Mzenji huyo maana ndio wenyewe wa ukewenza.wabongo kwa kukandia tu mmezidi.....mungu angewapa uwezo wa kuuumba sijui wenza wenu wangekuwaje?
nafahamiana nae mdada mzuri sana kwa sura ila tu anazungumza sanaaaaa na anapendezea maisha ya ukewenza!
UngaUnga naona kama umenisoma vibaya na hujaelewa ujumbe wangu...sijawaponda UKAWA...ila nimeelezea tu kuwa sbb wale wa Dodoma hawalewi sera za UKAWA licha ya ahadi nzuri,ni kama vile Nifah asvyoelewa sera zako japo ni nzurimkuu, barafu, hoja yako nimekuelewa, ila HAPO ULIPOWEKA UKAWA NA KUKASHIFU SERA ZAKE!, Umeharibu maana nzima ya ujumbe wako!, siasa ni jukwaa la siasa!...
Back to the topic Sikupata jibu chief, nilimwendea pm, manyoya! nahisi nilifanya kosa pia kutupia kwenye wall yake. na pia hadi wewe kufika kwenye wall yake na kusoma ujumbe wangu kwake, pia na wewe kuna kitu unataka toka kwake! kuwa open joh...
Kha....so kwa jichambo hilopyee babu weeh sura limekukomah kaa bamia la lamu
loo kama una pumu kamulie chooni mzi wakuingie mdmoni
unakaa kazi kumzushia mwana wa mwenzio kuwa ni mlevi chefuuu fanya yako una nin jogoo wa kuchora?
Mtu akileta za kuleta kuchambwa lazimaKha....so kwa jichambo hilo