Wana jf salaam alekum, moja ya waandaaji wa vipindi vya TBC1 ninayemuadmire ni Mariam Migomba. Dada huyu ninampa credit kwa jinsi anavyoendesha na kukimudu kile kipindi cha Taarabu. Mimi siyo mpenzi wa taarabu lakini huyu dada ananifanya nianze kuwa na positvie attitude towards taarabu music.Mwenye habari zaidi za dada huyu atujuze.
Mke wa mtu...na si msagaji
Ungejua alichokifanya Singida mwishoni mwa mwaka jana kwenye onyesho la taarabu, labda ungekuwa na msimamo tofauti.
Ungejua alichokifanya Singida mwishoni mwa mwaka jana kwenye onyesho la taarabu, labda ungekuwa na msimamo tofauti.
Kafanya nini kwani? Mbona mwanamama wa watu yuko vizuri tu. Hata mimi namkubali sana
Ungejua alichokifanya Singida mwishoni mwa mwaka jana kwenye onyesho la taarabu, labda ungekuwa na msimamo tofauti.