Maridhiano huko Kenya yamefanya uchumi uyumbe au uimarike?

Maridhiano huko Kenya yamefanya uchumi uyumbe au uimarike?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
276
Reaction score
1,428
Naona maridhiano yaliyopo nchini Kenya Kati ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta, naona namna wapinzani wanavyopambana kwa hoja na hakuna kubebwa bebwa Kama ilivyotokea kwa baadhi ya wahama vyama.

Najiuliza wenzetu Kenya walivyoridhiana na kuruhusu shughuli za kisiasa kwa vyama vyote wamekuwa maskini? Uchumi wao umeporomoka? Mabeberu wamewafilisi?

Leo CCM inafanya siasa za majukwaani na za ndani bila kuhojiwa na mtu yeyote na bado umaskini upo palepale...Sasa sijui huu mfumo wao unamnufaisha Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom