Chadema wakiona Asali wanakuwa kama Wehu!
Mbowe ni mtu wa Serikali hawezi kukataa Uteuzi wowote hata akiteuliwa kuwa DC atahudumu!Kuna asali zaidi wanalamba kuliko mawaziri?
Hukuwahi kumsikia Mwamba aliahidiwa uwaziri na jiwe na bado akaupiga chini?
Swali: Wakati Mbowe yupo Magereza na Lissu Belgium, kwa nini chachangu haikuwa inafanya kitu?
Mbowe ni mtu wa Serikali hawezi kukataa Uteuzi wowote hata akiteuliwa kuwa DC atahudumu!
Nakuambia Mbowe akiteuliwa nafasi yoyote hata Katibu Kata atakwenda!Usichanganye Mbowe na kina Lijualipole waliojunasibu hadharani kufanya kazi yoyote wakiteuliwa.
Nakuambia Mbowe akiteuliwa nafasi yoyote hata Katibu Kata atakwenda!
Ni kwa sababu Wewe umemjulia Mbowe hapo Ufipa ndio unaaminishwa hizo hadithi za Chekechea!Nakwambia Mbowe alikataa biashara ya uwaziri chini ya jiwe!
Wangapi waliupewa?
Hizi ni habari mpya kwako?
Ni kwa sababu Wewe umemjulia Mbowe hapo Ufipa ndio unaaminishwa hizo hadithi za Chekechea!
Unapewa tu Maarifa bwasheeWaonyesha kuwa makasiriko sana na Mbowe, kuliko hata jiwe. Kulikoni ndugu, alikupokonya kitu?
Kama raia wakijitambua hata viongozi wanaowaongoza hupata nguvu ya kuendeleza harakati ili kufikia malengo, hicho ndicho kinachomkuta Odinga pale Kenya mpaka kumfanya Ruto aione hali ilivyo chungu.
Hapa kwetu hali ni tofauti, na ni kinyume kabisa na kinachotokea Kenya, raia wamelala, baadhi ya viongozi ndio wameamka, huku wengine wakitumiwa na mtawala kwa mapenzi yao, sisi bado tuko disorganised kwa kiwango kikubwa sana.
Hawa wananchi wanaoburuzwa kila siku halafu wanasubiri mpaka waje kuamshwa na viongozi kukumbushwa maumivu wanayopitia, ni wajinga tu, hawajielewi, na hawa wanajichelewesha, wala hawacheleweshwi na hao viongozi "rojo rojo" kama unavyodai wewe.Hii itakuwa kutowatendea haki wananchi wakiwamo waliopoteza maisha yao, kujeruhiwa, kufungwa nk, kwenye kuipagania haki nchini hapa.
Hapa chini ni watanzania:
View attachment 2640888
Uthibitisho upi zaidi unataka?
Mifano iko mingi ila Cha msingi:
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Viongozi rojo rojo wangepumzika kupisha damu inayochemka kama bahari. SI lazima tufikie kwenye kufurushana.
Tuna matatizo ya kiuongozi zaidi.
Story za vijiweni hizo. Endeleeni kumsindikiza Mbowe anabugia tu asali!!!Kuna asali zaidi wanalamba kuliko mawaziri?
Hukuwahi kumsikia Mwamba aliahidiwa uwaziri na jiwe na bado akaupiga chini?