Maridhiano ya Chadema na CCM yanahusu nini? Mbona CCM imepeleka mapendekezo yake kwenye Kikosi kazi cha Prof. Mukandala?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee.

Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe

Naomba kuelimishwa
 
Ufipa ni wahuni sana bwashee!

Ona hapa sijui walikuwa wanaridhiana kitu gani!
20220522_145738.jpg
 
Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee.

Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe

Naomba kuelimishwa
Wewe Ni Kundi moja na Jiwe katika atrocities zote za 2015 to 2020 , umehusika katika madhira yote yaliyowapata Chadema au nadanganya
 
Ni maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na CHADEMA
 
Back
Top Bottom