johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe yamekupita?mengine kubali yakupite!
Huyu Ni Kundi moka na Jiwe katika atrocities zote za 2015 to 2020Mleta mada ni miongoni mwa wanufaika wa ukandamizaji na uminyiwaji wa demokrasia. Hivyo umejaa hofu
Wewe Ni Kundi moja na Jiwe katika atrocities zote za 2015 to 2020 , umehusika katika madhira yote yaliyowapata Chadema au nadanganyaSijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee.
Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe
Naomba kuelimishwa
Unadanganya bwasheeWewe Ni Kundi moja na Jiwe katika atrocities zote za 2015 to 2020 , umehusika katika madhira yote yaliyowapata Chadema au nadanganya
Naye atakufa kabla ya 2025. I prophesize.Huyu Ni Kundi moka na Jiwe katika atrocities zote za 2015 to 2020
Namwona Lisu anavyoahangaika na kahawa, 🤣🤣Ufipa ni wahuni sana bwashee!
Ona hapa sijui walikuwa wanaridhiana kitu gani! View attachment 2238371
mengi tu!Wewe yamekupita?
Hongeramengi tu!
OkNi maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na CHADEMA