The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema.
Leo Wasira kasema kuwa ataendeleza maridhiano stakeholders wote siyo na mtu akitaja taasisi za kidini. NGOs, na Jumuiya za Kimataifa. Sasa inaonyesha kuwa CCM ni kweli wamekubali kuwa kuna mambo wamefanya yanayohitaji maridhiano.
Maswali yangu ni haya;
1. Hayo maridhiano ni ya nini?
2. CCM wamefanya nini mpaka wanataka maridhiano?
3. Waathirika ni akina nani au ni kundi gani?
4. Kama kweli kuna mambo ambayo yanahitaji maridhiano kwa nini wao wenyewe wasitutajie gayo maeneo yanayohitaji maridhiano?
5. Na kama wanataka maridhiano kwa nini wanataka wafanywe jwa terms zao. Kwa nini wasitafute tume au neutral people wasimamie hayo maridhiano?
Naomba kuwasilisha.