PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kati ya maagizo ambayo 'Prfesa Ndumila Kuwili' a.k.a KIBWETELE, alipewa ni kuhakikisha 'anaking'oa' meno MADECHA au anainywesha kinywaji kitakachoikata sauti.
Katika kuhakikisha hilo linatimia, plan yote ilichorwa nje ya MADECHA na Profesa Ndumila Kuwili kukabidhiwa mpango huo kwa ajili ya utekelezaji.
Mpango huo ulianza kutekelezwa kupitia Chaguzi za ndani. 'Toto Tundu' a.k.a Madenge, hakuujua mkakati huo, kuna 'Wachoraji' wakajatribu kumstua, lakini yeye akajiuliza hawa watu wameanza lini kuwa na mapenzi naye au Chama chao, hivyo ndiyo kwanza akaenda public akaweka msimamo wake kwamba atagombea nafasi ya Chini yake na wanaotaka kumchonganisha na Prefesa Ndumila Kuwili wajue mpango wao ume fail, na akaenda mbele na kuchukua form ya nafasi ya Chini yake.
Bado kule Karakana, kukawa kama hapana utulivu, kuna 'wachoraji' hawaku kubaliana kabisa na ule 'mchoro'. Wakaamua kutafuta namna ya kumuelekeza 'Toto Tundu' ili ajue kuwaiepangwa aondolewe kwenye ile nafasi ili kudidhoofisha MADECHA. 'Toto Tundu' huwa ni ngumu kuingilika, wakalazimika kuwatafuta wakubwa zao, akina Sukununu, na wenzake.
Pale ndipo 'Toto Tundu' alipoonyeshwa mchoro kwamba hata kushindwa kwa yule Mchungaji ilikuwa ni sehemu ya huo Mpango, Mchoro ukaonyesha kuwa katika oparesheni 'kung'oa meno', hata yeye hatakiwi kuwepo kwenye nafasi yake ya Chini aliyonayo na imeshapangwa nafasi hiyo apewe rafiki wa 'Abd al' bwana 'Wa nje'.
Hapo Toto Tundu ndipo akastuka kuona kumbe Profesa Ndumila Kuwili anamzunguka na zaidi anajiona yeye ni KIBWETELE na wengine wote ni wafuasi wake tu.
Baada ya kujiridhisha, Toto Tundu akapiga counter attack ambayo Profesa Ndumila Kuwili hakuitarajia wala wale jamaa wa Karakana hawakuitarajia. Aka withdrawal form yake ya ile nafasi ya Chini, akajaza kugombea nafasi ya Ndumila kuwili.
Hata sasa Profesa Ndumila Kuwili hayupo sawa, pamoja na kujitutumua lakini nguvu na matumaini yake katika kukabiliana na Toto Tundu yapo mikononi mwa wale jamaa kule Karakana ambao na wenyewe wamegawanyika kiasi wanaishi hawaaminiani, wamekuwa kama konokono, kwamba wana jinsia zote mbili, atakaye wahiwa ndiye atakayebeba mimba.