Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

Refa wewe na mshindani wewe na bado mnao ujasiri wa kujikiia washindi.

Mbona maridhiano haya ni kwa wazanzibari tu? Humuoni Mh. Zitto alivyopwaya kwenye hiyo hafla?
Hata bila kuwa refa mimi wapinzani mmejikita zaidi mijini nalo pia kuna kijani kibao,hao maridhiano ni ya nn sasa wakati mnapiga za uso kila mahali,unadhani zenji na hapa hali ya ushindani ni sawa?
 
Zanzibar hii iliyovurugika ni Zanzibar rais JMT akiwa mbara:

Your browser is not able to display this video.

Imetokea hivyo na Nyerere, Mkapa, Kikwette na Magufuli. Lakini ikawa tofauti na Mwinyi na leo Samia.

Zanzibar inavurugwa na uwepo wa marais wabara JMT. Itakuwa mibara ina roho za aina yao.

Bila shaka mama naye kaamua kuangalia maslahi yake. Yanini kumwamsha Simba aliyelala?
 
Hata bila kuwa refa mimi wapinzani mmejikita zaidi mijini nalo pia kuna kijani kibao,hao maridhiano ni ya nn sasa wakati mnapiga za uso kila mahali,unadhani zenji na hapa hali ya ushindani ni sawa?

Kama upinzani wamejikita mijini wasiwasi wenu nini kuridhia tume huru? Si mtashinda tu nyie mliojizatiti?

Kwani wasiwasi wenu nyie nini hadi makubaliano kujiweka kwenye mazingira ya kujiweka kwenye ushindani dhwalimu usiokubalika hata na mtoto mdogo?
 
Tukubaliane na nyinyi nini wakati nyie ni washindwa tu,Tume hata ikiwa huru kama mnavyotaka hamna uwezo wa kuongoza nchi nyie,mtatuuza tu,kuliko nchi mchukue nyinyi bora tutawaliwe na jeshi kuliko nyie vibaraka wa mabeberu
 
Tukuliane na nyinyi nini wakati nyie ni washindwa tu,Tume hata ikiwa huru kama mnavyotaka hamna uwezo wa kuongoza nchi nyie,mtatuuza tu,kuliko nchi mchukue nyinyi bora tutawaliwe na jeshi kuliko nyie vibaraka wa mabeberu
Umma ndo utaamua
 
Tukubaliane na nyinyi nini wakati nyie ni washindwa tu,Tume hata ikiwa huru kama mnavyotaka hamna uwezo wa kuongoza nchi nyie,mtatuuza tu,kuliko nchi mchukue nyinyi bora tutawaliwe na jeshi kuliko nyie vibaraka wa mabeberu

Kwani wewe nani mjomba? Kulikoni kunipa umuhimu usiokuwa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…