Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mama akishapata mimba hana haki tena kumchagulia kiumbe mwingine kuishi au kufa...! Hayo ya kuchaguwa yanapaswa kufanyika kabla ya ujauzito na si baada ya ujauzito.
Mimba ambazo ulikuwa hujapanga kupata, lakini imetokea.....yaani bahati mbaya!
Lakini hii inafanyika mitaani kote bila kujalisha ni Marie Stopes!wewe acha ubishi
watu wameenda na kusema tunataka kutoa mimba
wakaambiwa lipia kiasi fulani,hakuna swali la ziada
na wakahudumiwa

ninachouliza ni hiki

kama kwa mujibu wa sheria tanzania hairuhusu utoaji wa mimba

je hawa wana operate kwa sheria zipi???????

ninachouliza ni hiki

kama kwa mujibu wa sheria tanzania hairuhusu utoaji wa mimba

je hawa wana operate kwa sheria zipi???????
mimi nasikia sio kwa kificho kabisa....
watu wengi wamenieleza hivyo
NiniWauaji wakubwa hao.