Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Ni wakati wa kizazi kipya sasa kushika hatamu za Uongozi hasa kupitia ngazi za Ubunge.
Marietha Bee ametia nia kuomba uteuzi viti maalumu CCM Mkoa wa Manyara.
Dhamira yake kubwa ni kutatua kero za wamama, Vijana, walemavu na makundi rika yote mkoani Manyara ambazo nyingi bado hazijapatiwa ufumbuzi.