Alex Fredrick JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 697 Reaction score 1,358 Jul 10, 2020 #1 Ni wakati wa kizazi kipya sasa kushika hatamu za Uongozi hasa kupitia ngazi za Ubunge. Marietha Bee ametia nia kuomba uteuzi viti maalumu CCM Mkoa wa Manyara. Dhamira yake kubwa ni kutatua kero za wamama, Vijana, walemavu na makundi rika yote mkoani Manyara ambazo nyingi bado hazijapatiwa ufumbuzi.
Ni wakati wa kizazi kipya sasa kushika hatamu za Uongozi hasa kupitia ngazi za Ubunge. Marietha Bee ametia nia kuomba uteuzi viti maalumu CCM Mkoa wa Manyara. Dhamira yake kubwa ni kutatua kero za wamama, Vijana, walemavu na makundi rika yote mkoani Manyara ambazo nyingi bado hazijapatiwa ufumbuzi.
nsharighe JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 1,441 Reaction score 2,220 Jul 10, 2020 #2 Kila la kheri kada
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Jul 10, 2020 #3 Aweke nia jimboni viti maalum vya nini
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jul 10, 2020 #4 Hongera mrembo, kila la kheri