Mario balloteli ni memba wa kundi la mafia.!

Mario balloteli ni memba wa kundi la mafia.!

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
933
Mcheza kabumbu mwenye kipaji cha hali ya juu na vibweka visivyoisha uwanjani na nje ya uwanja raia wa Utaliano super mario ballotell anatarajiwa kuhojiwa na polisi ya italia kufuatia Mchezaji huyo kupigwa picha katika mji wa Napoli nchini italia , kitovu cha kundi la Mafia ambapo alipokewa kwa shangwe na Wahuni hao wa mafia. Kwa mujibu wb BBC swahili leo jioni, balloteli aliambatana na baadhi ya wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya italia. Akizungumzia sakata hilo, balloteli mwenyewe amesema yuko tayari kuhojiwa na polisi.
 
duu lakini huyu jamaa wanamkubali malazy wenzake..
 
namkubali sana huyu chizi..................ni anajuua mpira
 
Nadhani hii habari inaleta maana. Zile fujo za Balotelli huwa zinapangwa kabla na wacheza kamari. Mara nyingi amekuwa akijitafutia kadi nyekundu kwa makusudi kabisa.
 
mkali mario balo kimbiza mbweha!nalikubali sana hili jembe.....
 
Back
Top Bottom