Mario Baloteli

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
At 17-Years-Old: " I am Italian , I feel Italian, I will forever play with the Italian national team".

At 30-years-old: "When I win them games, I am European, when we lose I am African, they throw banana at me. If I had a second chance I would play for Ghana."
 
Upumbavu anaofanyaga uwanjani ,asijifichie kwenye kubaguliwa. Kila timu anayoenda lazima azingue
 
Mkuu umeongea ukweli na uhalisia.Watu wnatafuta maisha.
Nfio hivyo mkuu
Hao wanaomponda baloteli kutwa kucha wanasema bora kuwa mbwa ulaya sio hao?
Kapata nafasi ya kucheza ulaya arudi Africa kufanyeje ikiwa akichezea italia anafahamika fasta na kukuza uchumi wake na umaarufu?

Umeona kasema wazi team ikifungwa anaitwa nyani anatupiwa ndizi.
Ila ikishinda wanamuona mtaliano mwenzao...that's life yupo hapo anatafuta maisha na sio kwamba anapenda kuitwa nyani.

Waache unafki
 
Tuache unafki nan angekubal kurudi Africa?
Kama pogba asingechezea France angekuwa wapi?

Yote ni utafutaji wa maisha.
Inategemea kila mmoja ana stori yake kwanini anachezea taifa jingine.

Mfano Pepe, angeweza kuchezea Brazil ila alivyofika Ureno hana hela mfukoni akamwambia mzee wa mgahawani kwamba ana njaa ila hana hela. Yule mzee akampa chakula Pepe, kutoka hapo akadhamiria hata akitoboa atachezea Ureno.
 
Alikua na kipaji ila nidhamu na majivuno ndiyo vimemmaliza halafu baada ya kuishiwa anaanza kuwaambia blacks wenzake eti waache kuchezea Ulaya warudi Africa kuandaa ligi.

Akaulizwa unamuongeleaje Ronaldo akajibu mi simjui Ronaldo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…