Kijana kichwa chake sio kizuri. Ana kipaji, lakini hawezi kupata mafanikio kwa sababu ya kiburi. Kama alifikiri ameotea, haikuwa na haja ya kumwonyesha jeuri kocha wake alipotolewa nje-alionekana kama anamjibu vibaya kocha wake kwa kurusha mikono. Huwezi kufanikiwa ktk jambo lolote kama una jeuri ya Balotelli.