Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo

download.jpg

2. Diamond Platnumz

1733477587075.jpeg

3. Harmonize
download (1).jpg
4. Alikiba

OIP (1).jpg

5. Zuchu
OIP (2).jpg

Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024

1. Hakuna Matata- Marioo
2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue na Jay Melody
3. Komasava (Comment Ça Va) - Diamond Platnumz, Khalil Harrison, Chley
4. Buruda - Jaivah
5. Zawadi (Dadiposlim) - Zuchu
6. Dharau - Ibraah, Harmonize
7. Baridi - Jay Melody
8. Siji - Zuchu, Toss
9. Nisiulizwe - Jux
10. Away - Marioo

Albamu za ndani zilizosikilizwa zaidi

1. “The Kid You Know” - Marioo
2. “Visit Bongo”- Harmonize
3. “Therapy”- Jay Melody
4. “Most People Want This”- Navy Kenzo
5. “Made For Us”- Harmonize

Source: SpotifyAfrica
 
Kwenye digital platform ipi?

Muwe mnaleta habari kamili mkuu..... Mnawachanganya watanzania..


Kama sijakosea hiyo ni Sportfy.
 
Kwenye digital platform ipi?

Muwe mnaleta habari kamili mkuu..... Mnawachanganya watanzania..


Kama sijakosea hiyo ni Sportfy.
Hapo chini nimeweka Source ni Spotify Africa

Uwe unasoma habari kamili mkuu
 
Back
Top Bottom