Mario ft Stans 2025

Mario ft Stans 2025

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Dansoooo
Aiiii weweewee

Baby nipost kwani mi si mali yakooo...unamuogopa nani?!

Baby nichumuu kwani mimi si mali yako unamuhofia nani??.

Ni sehemu ya maneno ya huu wimbo wa Mario akimshishirikisha Stans.

Mpangilio mzuri wa beat; sauti maudhui ya mapenzi kwa wapenda nao.

Binafsi nimeuelewa
 
Back
Top Bottom