Mario Gomez - Appreciation!

Mario Gomez - Appreciation!

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,767
Reaction score
6,575
leo gomez kaonesha kuwa kufunga magoli zaidi ya matatu katika mechi moja inawezekani ni baada ya kushusha kisago kwa wababe wa manure, fc baseball.. bayern kashinda 7 bila..

yeye katika uefa msimu huu ana magoli kumi..
 
Msimu huu kama wewe ni striker halafu hujafunga hat-trick basi una matatizo
 
Ahaa! Gomez kajitaidi sana; Messi iz a man of da next level.

hata gomez sema roben alimbania angefunga goli la tano nakua kama mesi ila dogo cheza yake ya ajabu sana..
 
nakuona we kenge wa man city unavyojifariji!

huyu jamaa hata ukiwaufuatilii bundas jamaa anajua kufunga na ndio anamfutia mesi kwa hiyo wewe mchimba chumvi utakufa nalo..
kheee kheee kheeee na bado...
 
Back
Top Bottom