Mario, wimbo "Tikisa" umetafsiri wimbo wa "Congratulation" wa Don Nalimison. Tafadhali buni vya kwako

Mario, wimbo "Tikisa" umetafsiri wimbo wa "Congratulation" wa Don Nalimison. Tafadhali buni vya kwako

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
ANGALIZO kwa Msanii MARIO.

MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai 2020. Ningeweza kukuweka DETENTION lakini Mimi simuuaji, naomba acha hiyo tabia buni vya Kwako bwana mdogo.

 
Mkuu unatangaza wako au 😂😂😂😂😂

Shake down shake down ndo tikisatikisa au😂😂😂
 
Haya sasa umeanza kujipigia kiki😂
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Marioo aache kukopi nyimbo zako mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Don nimeingia huku kukujulia hali tu.

Nilikukumbuka leo katika mbanga zangu za hapa na pale, nikasema ntapita hapa kukujulia hali.

Hujambo bwana?
 
Bana kuna dada ana viuno humo hatari.

Don fanya naye kazi sana huyo tunamuhitaji
 
Back
Top Bottom