G_real
JF-Expert Member
- Aug 23, 2019
- 684
- 855
Waandaaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo Watanzania @Diamondplatnumz @RayVanny @S2kizzy @OfficialNandy @Harmonize_tz na @Marioo_tz wametajwa
.
Diamond Platnumz anaongoza akiwa ametajwa kuwania vipengele 6 Ikiwemo Artist Of The Year, Best Male na Best Collaboration kupitia mkwaju wa 'Inama' Ray Vanny anamfata akiwa ametajwa kuwania vipengele 3 ikiwemo kipengele Kikubwa zaidi cha 'Song of The Year', Hii ndio orodha Kamili ya Nominees
.
Marioo ametajwa kwenye kipengele cha Best New MVP, S2kizzy anawania kipengele cha 'Producer of The Year', Nandy anawania kipengele cha 'Best Female' na Harmonize anawania kipengele cha 'Listeners Choice Award' orodha Kamili ya Nominees.
Sent using Jamii Forums mobile app