Marioo anyoosha mikono juu kwa Mond "Simba la masimba"

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana.

Screenshot_20240726-080842_X.jpg

Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni mwingine.

Video ya Marioo Hakuna Matata imetrend No 1 kwa muda mfupi sana YouTube mpaka pale video ya Diamond ya Komasava remix kuachiwa YouTube ambayo sasa inatrend No 1 na kuwa gumzo.

Marioo ameonyesha ukomavu wa hali ya juu, amekuwa mature enough kwenye music industry akiendelea hivi atafika mbali.

Sifuatilii sana muziki wa bongo ila nimeikubali sana tweet ya Marioo respect kwake.
 
Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana.

View attachment 3052503

Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni mwingine.

Video ya Marioo Hakuna Matata imetrend No 1 kwa muda mfupi sana YouTube mpaka pale video ya Diamond ya Komasava remix kuachiwa YouTube ambayo sasa inatrend No 1 na kuwa gumzo.

Marioo ameonyesha ukomavu wa hali ya juu, amekuwa mature enough kwenye music industry akiendelea hivi atafika mbali.

Sifuatilii sana muziki wa bongo ila nimeikubali sana tweet ya Marioo respect kwake.
Na kuimba kote mariooo top five ya wasanii bora tanzania hayupo
Mondi
Kiba
Konde
Vanboy
Zuchu
 
Back
Top Bottom