Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
We zombie haujui simba la masimba dangote
Sawa.
Na kuimba kote mariooo top five ya wasanii bora tanzania hayupoNimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana.
View attachment 3052503
Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni mwingine.
Video ya Marioo Hakuna Matata imetrend No 1 kwa muda mfupi sana YouTube mpaka pale video ya Diamond ya Komasava remix kuachiwa YouTube ambayo sasa inatrend No 1 na kuwa gumzo.
Marioo ameonyesha ukomavu wa hali ya juu, amekuwa mature enough kwenye music industry akiendelea hivi atafika mbali.
Sifuatilii sana muziki wa bongo ila nimeikubali sana tweet ya Marioo respect kwake.