Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

Songi kali sana.

Huku kwetu Burundi kutokana na yanayoendeleq kwenye mahusiano hilo songi linakwenda kuwa songi la karne ukiacha lile songi la beer 🍺🍻🍺 tamu.

Marioo Marioo Marioo 👏👏👏
 
Nadhani mimi sikio langu halijapata kumuelewa huyu bwana mdogo,namuweka katika kundi la wasanii wanaotiatia huruma na kulalama/kulialia katika mashairi yao na sauti zao(Spack,pnc,tundaman,& B2K -Tunaendana, marioo n.k)!!SIFAGILII WATU WA KUTIATIA HURUMA & KULALAMA HOVYO.
 
Ya kawaida bna labda ni vile we fan wa jamaa.
Daaah, sema tunatofautiana masikio! Ila kwa mwezi huu sijaona wimbo wa mahadhi hayo ambao umeupita huu....
Afadhali huu x10 zaidi ya ule wa jamaa aliyeimba deka
 
Siku mkalie kitako umsikilize neno by neno ndo utamuelewa!
 
Iko poa kiasi.
Otile Brown angekuwa Mtz angekimbiza sana
 
Mi nimeikubali video clip ya mama Amina
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…