Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
we umemjaje?Ushauri tu kwa mwanamuziki Marioo awe anaacha kuvaa miwani meusi kwenye video zake kwa sehemu kubwa. Diamond tulimjua haraka huku vijijini mwanzoni aliimba kavukavu. Zuchu pia hata watoto wa miaka 2 huku vijijini wanamjua, Na nyie wengine mnaoingia acha miwani hatuwajui haraka.
View attachment 2237045View attachment 2237046View attachment 2237047
Na ulevi apunguzeNa mkorogo pia aache
Tutafute pesaEti Marioo anamkula mtoto mzuri mimimars jamani jamani pesa na kipaji hivi vitu vinanguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hafananii kumla Mariane Mdee?Eti Marioo anamkula mtoto mzuri mimimars jamani jamani pesa na kipaji hivi vitu vinanguvu
Huyo mtoto mzuri sana,nahis zamani tulishindwa kumjua mpenzi wake itakuwa kulikuwa na kibosile mume wa mtu alikuwa anatumia kimya kimya,nahisi watakuwa wameachana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hafananii kumla Mariane Mdee?
Nilijua tu nitakutana na hii commentTutafute pesa
Wee nae si yule mbunge wa...... Waliachana mbna.Huyo mtoto mzuri sana,nahis zamani tulishindwa kumjua mpenzi wake itakuwa kulikuwa na kibosile mume wa mtu alikuwa anatumia kimya kimya,nahisi watakuwa wameachana
tunakaa mtaa mmojawe umemjaje?