marioo

cinderelalove

Senior Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
189
Reaction score
39
wanaume wa siku hizi si wote but kuna baadhi yao hovyoo sana,wao wanajua kutongoza tuu halaf hajui hata huyo anaemtongoza anahudumiwaje,wao kaz yao ni kuomba pesa tuu hawajui kutafuta,wanajua kupiga mizinga kwa wapenzi wao tuu,mara em rusha hapo 10000 ntakurudishia kuna ishu nafuatilia,uongo mtupu,na anajua fika huwezi mdai,.ila ukimwambia ww kuwa huna vocha hata ya jero anajishikashikaaa wee mwisho anajidai mambo hayajakaa vizuri....MIE SILEI MARIOO,nataka anaejua nn maana ya mwamke(baby)anitunze nimtunze,tuheshimiane,........thats all........polen ladies wenzangu
 

Duh kaazi kweli kweli. Poleni na visharobaro vyenu
 
Pole cinderela muombe mungu akujalie wa kwako na si wa wote,atakujali,atakuthaamini,atakuheshimu na kukupenda kwa dhati.
 
Ndio nyie mnakimbilia mahandsome mnaita wenyewe, ha ha handsome aendane na uanaume wake na ajue majukumu yake. nyie mnaangalia sura tu. pole anyway.
 
Ndio nyie mnakimbilia
mahandsome mnaita wenyewe, ha ha handsome aendane na uanaume wake na
ajue majukumu yake. nyie mnaangalia sura tu. pole anyway.

by da way mwanaume si sura
 
Ndio nyie mnakimbilia mahandsome mnaita wenyewe, ha ha handsome aendane na uanaume wake na ajue majukumu yake. nyie mnaangalia sura tu. pole anyway.


i think uko right
 
Kwani lazima umng'ang'anie huyo? Njoo hapa uhudumiwe :thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…