beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Kaimu Waziri Mkuu wa Ukraine, Iryna Vereshchuk amesema Wananchi wa Mji wa Mariupol wameshindwa kuondoka baada ya Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda kushindwa kutekelezwa
Kutokana na hali inayoendelea, imeelezwa kuwa jitihada za kupelekea Chakula, Maji na Dawa kwenye Mji huo zimeshindikana
Aidha, Waziri wa Elimu wa Ukraine amesema tangu mashambulizi ya Urusi dhidi ya Taifa hilo kuanza, zaidi ya maeneo 280 ya kutoa Elimu yakiwemo Shule, Vyuo vya Ufundi na Vyuo Vikuu vimeharibiwa
======
Not a single civilian was able to leave the encircled Ukrainian city of Mariupol as Russian forces failed to respect a temporary ceasefire to allow evacuations, Ukraine’s Deputy Prime Minister Iryna Vereshchuk has said.
Meanwhile, efforts to send food, water and medicine into the city failed when Russian tanks attacked a humanitarian corridor, President Volodymyr Zelenskyy said.
“This is outright terror … from experienced terrorists,” he said. “The world needs to know this. I have to admit it – we are all dealing with a terrorist state.”
Ukraine’s minister of education has said more than 280 educational facilities have been damaged or destroyed by “bombing and shelling”.
“The enemy ruthlessly destroys kindergartens, schools, vocational schools, colleges, universities,” Serhiy Shkarlet said. “But the most brutal and painful losses are hundreds of lives lost at the hands of the aggressor.”
Source: Al Jazeera